EPcXFJIX4AAo5Lk

Cut The Garment Not The Girl

Shirika la Illaramatak Community Concerns nchini Kenya
ambalo linahusika na kusaidia jamii za wafugaji limesema kuwa baada ya harakati
za kuhamasisha jamii na hususan wanawake kuzaa matunda sasa limejikita katika
kuwawezesha wanawake kwa ajili ya kusaidia kusongesha mbele jamii kwa
ujumla.  

…….Listen to radio interview here

Audio Credit: Grace Kaneiya/ Jason Nyakundi
Audio Duration: 1’51”
Photo Credit: UN News Kiswahili/ G.Kaneiya

One Response

Leave a Comment